santos profile

santos

Apr 7, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Airtel mwezi huu, naona wametulisha nyasi hapo, wamekata cammission, alafu cammission ya vifurushi wamefutilia mbali

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.