bumela profile

bumela

Aug 2, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Habali mawakala naomba kuuliza saizi till yangu ya voda nikiwanulia wateja vifurushi inakubali Kwa miamala miwili tu muamala watatu inakataa naambiwa mufumo umetingwa

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.