issashomary profile

issashomary

Apr 9, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Duuh! Airtel wanafeli wakuu wamenitumia commission ya vocha na vifurushi 3000/= wakati nimefanya miamala ya vocha na vifurushi zaidi ya mwezi uliopita ambao walinilipaga Tsh 15000/=, nilitegemea nipate zaidi ya mwezi uliopita kwa sababu nimepiga kazi sana... AU NI KWANGU TU WADAU????? 🙄

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.