mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 15, 2026

Post media

Kila wakala tujibu hapo mtandao gani kati ya Yas na voda upi mtandao unao kupa commission nono sana kila mwisho wa mwezi au kwenye lipa. Vodacom Tanzania Yas Tanzania #MixByYas #MPESA

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.