ngao profile

ngao

May 24, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Jinsi technology inavyozidi kuwa tegemeo kwenye maisha yetu ndio kadri kazi zetu zakuzungusha miamala inazidi kua hatari Lau kama makampuni ya mitandao yanatujali ingebidi yawe na vitengo vyakutoa elimu kwa mawakala kuhusu huduma zao kila wanapoboresha bila hivyo hii kujiongeza kunasiku utarudi nyumbani mtaji umepigwa

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.