superagent
Apr 18, 2025
Hakuna picha au video
Post hii haina picha au video ya kuonesha
KAMA UMESAHAU PASSWORD KWENYE SIMU YAKO FANYA HIVI 1. Zima simu yako toa betri na ulirudishe, 2. a) Kama unatumia SAMSUNG, INFINIX AU TECNO bonyeza batani ya kuongezea sauti na ya kuwashia kwa pamoja kwa sekunde 15, kufanya hivyo kutakuletea Recovery menu. b)kama unatumia Samsung bonyeza batani ya kuwashia, kuongezea sauti na home button kwa sekunde 15, kufanya hivyo kutakuletea Recovery menu. 3. Tumia batani ya kupunguzia sauti na ushuke mpaka kwenye wipe data/factory reset 4. Bonyeza batani ya kuwashia kisha tumia batani ya kupunguzia sauti kushuka mpaka kwenye delete all users data then bonyeza batani ya kuwashia. (kwa baadhi ya sim za tecno na Sony Bonyeza batani ya kuongezea sauti kisha tumia batani ya kupunguzia sauti kushuka mpaka kwenye delete all users data then bonyeza batani ya kuongezea sauti) 5. Iache kwa muda kisha utaona neno Reboot now liko highlighted bonyeza batani ya kuwashia kisha iache izime na iwake( kwa baadhi ya sim zitakuomba ukubali kufuta bonyeza batani ya kuwashia kisha utaona neno Reboot now liko highlighted bonyeza batani ya kuwashia kisha iache izime na iwake) kwa kesi ya baadhi ya simu utatumia batan ya kuongezea sauti badala ya batan ya kuwashia. 6. Hapo utakuwa umefanikiwa kuondoa pattern au password kwenye simu yako #super Agent HITAJI LAKO NDIO KIPAUMBELE CHETU!! Whtspp & Call 0654555758
Je wewe ni wakala?
Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.