paschal profile

paschal

Jun 5, 2026

ā‹®
Post media

šŸ“š MAFUNZO YA LEO KWA WAFANYA BIASHARA WA UWAKALA USIMDHARAU MTEJA WA SHILINGI 1,000 šŸ’” Wateja wadogo wa leo wanaweza kuwa wateja wakubwa kesho. Mhudumie kila mteja kwa heshima na umakini uleule bila kuangalia kiasi cha pesa alichonacho. Kumbuka: āœ”ļø Lugha nzuri huvuta wateja āœ”ļø Uaminifu hujenga jina la biashara āœ”ļø Huduma ya haraka huwafanya warudi tena Biashara hukua kwa tabia nzuri, si mtaji mkubwa pekee. šŸ“ OMOKI ONLINE SERVICES Follow chanel yetu ya whattsap Kwa mafunzo ZAIDI šŸ‘‰ https://whatsapp.com/channel/0029Vb7O9Um4inohwAmptd0x

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.