gideon profile

gideon

Aug 4, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Mimi nina mwezi mmoja tayar lakini kila nikifanya miamala wataja hapungui20 na hawazidi 25 ila kwa siku za wekeend ndio wanafika 50 vip hii ni eneo sahihi ndugu zangu?

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.