DharaphiTz profile

DharaphiTz

Mar 1, 2025

Post media

Habarin wakubwa mi nimeaza tareh 12/02/2025 ila lain moja ya tigo nimepokea Tsh 57,000/= bado Airtel na halotel hii imekaaje na ndo nimeaza nataka kujua jee ni mwanzo mzur au

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.