zengo profile

zengo

Jun 4, 2026

Post media

Nyie mawakala hivi hakuna mfumo/application unaotumika kwa mawakala kwa ajiri ya kuendeshea kazi ya uwakala, kufunga hesabu kila siku nimechoka mie

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.