mwashada profile

mwashada

Mar 1, 2025

Post media

Nimeona watu wameuliza namna ya kushare link ya hii app. Kama kwenye magroup kama whatsApp au facebook. Ukienda kwenye profile yako, af ukaenda kwenye settings utaona sehem imeandikwa 'Sambaza App'. Ukibonyeza hapo utaweza kushare sehem mbalimbali.

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.