sultan profile

sultan

May 1, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Wanangu naomben ushaur kweny suala la lipa namba maan naona kil mwez kamishen yngu inashuka sas sijui ni hiz lipa namba nazowaambia watu watoe ama kuna shida nyingine wazoefu naomba ushaur wenu 🙏🏾

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.