š M-FEMA IMEWASILI!
Je, unahitaji kubadilishana float kwa haraka, salama na kwa urahisi? M-FEMA ndiyo suluhisho lako!
M-FEMA ni mfumo unaowaunganisha mawakala na kuwawezesha: ā
Kubadilishana float (Float Exchange) kwa urahisi.
ā
Kufanya miamala kwa usalama na uhakika zaidi.
ā
Kufuatilia miamala yote kwa wakati halisi.
ā
Kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wateja.
š± Pakua M-FEMA leo: ⢠Google Play Store kwa watumiaji wa Android.
⢠Apple App Store kwa watumiaji wa iPhone.
Jiunge na mawakala wengine wanaotumia teknolojia kurahisisha shughuli zao za kila siku na kuhakikisha upatikanaji wa float pale inapohitajika.
āļø Msaada na maelezo zaidi:
0739 888 400
M-FEMA ā Mtandao wa Mawakala kwa Float Exchange ya Haraka, Salama na Rahisi.