Mitandao ya sim ina sheria zake kwa faida yao na sisi tunahitaji faida pia sio tuwafanyie kazi wenyewe hapana sasa tunachotakiwa nikufata sheria zao wanavyotaka ila na sisi tunajiongeza.
Wanasema lipa nikwaajili ya wafanya biashara sawa tumekubali sisi sio wafanay biashara ila leseni yetu inaturuhsu tufanye biashara tofauti tofauti sababu hamna lessen ya wakala haipo popote pale.
Mawakala kwenye ofisi yako ongeza bizaa kama maji, vinywaji vingine, nguo miwa chochote ambacho utaona kinafaa afu tumia lipa sasa hizo apo huvunji sheria unahesabika kama mfanya biashara api vipi ni akili kidogo
Hela lazima tuendelee kupiga paka watuboreshee mapato na sisi commission ziwe nzuri na sheria za ajabu watoe asa kumtumia mteja alie mbali ni kosa sasa mimi wakala najuaje kama yupo mbali sheria za hovyo kbsa.
#MPESA #MixByYas #Airtel #Vodacom