ibraah
Mar 2, 2025

Kabra ya yote nikawa nimemtumia ile pesa kampeleka hospital hela jaijatosha nikamtumia elfu 10 aongezee ili aweze kupata dawa ya mdogo wake akanishukulu vya kutosha balaka nyingi usiku saa 3 nikawa nimepigia sm kumuuliza hali ya ndugu yake akaniambia bado haijakaa sawa nikawa nimeongea na mgonjwa mgonjwa bado mdogo ana umli wa miaka 7 basi akaniambia dokta kampatia dawa lakini kasema ale sana ili aweze pata nguvu na dada kumbe alijiongeza kwenye hela nilio mtumia hakumaliza yote alinunu na nusu debe la mahundi akakosa hela ya mboga jioni nampigia kujua kama mgonjwa amekula dada kaniambiaa ndio wanakologa uji ili wanywe maana hawana mboga niliumia sana sana kama binada nikiangalia me mwenyewe uwezo wangu sio mzuli nikwambie kwa sasa fanyeni hivyo lakini kesho asubuhi ntakutumia elfu 5000 dada akaniambia usifanye hivyo kaka inatosha kwa kunisaidia nikamwambia usijali dada leo sasa asubuhi nikawa nimemtumia elfu tano mida frani akanituia sms akaniambia kaka me najua unamajukumu yako
Je wewe ni wakala?
Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.