sayalelsabore96gmail profile

sayalelsabore96gmail

Jun 6, 2026

Post media

Tukipata APPLICATION kama hii ya Azam pesa na ya Yas ni nzuri sana kwanza inatunza taarifa za miamala kwa hiyo ata mtu akikaa wiki akija kudai unamuonesha

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.