Yani ukishaifaham tu kazi hizi vizuri huto taka kazi ingine nikwambie leo ukweli huo.
Uwakala shida ni mtaji tu basi ila ukishapata mtaji umemaliza sababu kinacho fata nikuchagua eneo zuri tu basi nakutulia hela zinakuja zenyewe.
Kuhusu utapeli kwangu hakuna mbinu ambayo siijui inayo tumika kwenye utapeli kwa uzoefu wangu wakujifunza na kuifanya hii biashara hakuna tapeli anaweza ni tapeli mimi labda aniteke tu basi.
Kuna angle nne tu ukizijua hizo hakuna tapeli yoyote anae weza kukutapeli labda wakuteke basi.
Kwaiyo kama una mtaji na huna chakufanya kabisa njoo kwenye uwakala jifunze anza.