mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 16, 2026

Post media

Unapiga hesabu vizuri Leo safi kesho unaamka tena kuhesabu unaona tofauti kabisa hii inatokana na sababu hizi. 1. Kupiga hesabu vibaya mtu ukiwa ndo umefunga kazi kichwa kinakuwa kimechoka sana sana kwaiyo we unaweza ona umepiga hesabu vizuri kumbe umekosea hiyo ipo kabsa. 2. Cha pili upande wa flot unaweza kuwa ulimzidishia mtu muamala bila wewe kujua hiyo ipo pia. 3. Chuma ulete ipo hii we kama haijakukuta ila jua ipo na inaliza watu kwel kweli. Hizi ndo sababu kubwa. #AirtelKenya #MixByYas #Airtel #MPESA

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.