kulf profile

kulf

Jan 1, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

NAOMBA KUULIZA JE NIKIWA NA LIPA NAMBA KWENYE KIBANDA CHANGU CHA UWAKALA,NA NIKAANDIKA ZILE CODE ZA LIPA NAMBA,NIKABANDIKA HAWA WATU WA MITANDAO WAKIPITA HAWAWEZI KUNILETEA SHIDA?

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.