ibraah profile

ibraah

Mar 2, 2025

Post media

Habari ndugu samahani leo nimekuja njee ya mada naombeni mnisaidie hapo juzi majila frani kuna namba ngeni ilinitumia sms hiyo mnayo iyona mimhuyo mtu simjui wala hanijuii kama binadamu ikanigusa nikafukilia mazingila nilio toka leo hii nipo hapa nikaona nimpigie sm nilivyo mpigia akaniambia samahani kaka nimekosea namba nilikua namtumia kaka yangu nikwambia sawa basi wewe endelea kumtafuta ndugu yako lakini hiyo elfu 5000 me ntakutumia sasaivi mate chakula akashukulu sana jioni akanipigia sm akaludia kunishukulu sana me nikamuuliza wewe mpaka unamwambia hivyo kaka yako wazazi wako wapo wapi akaniambia wamesha faliki wote nilihuzunika sana nilitafakali sana moyo wa huluma tena ukanijia nikamuuliza huyo mdogo wako jenipha anaumwa nini akaniambia haujui maana amnamda anaumwa ana nikamwambia mmesha mpimisha akanambia hapa nikamwambia sawa kesho asubuhi natkutumia elfu 30 ukampimishe uangalie anaumwa nini dada alishukulu sana asubuhi ambayo ilikua jana nimekuja ofisini kwangu kabla yote

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.