3874 profile

3874

Apr 21, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Laini yangu ya yass inachangamoto kutoa kwa wakala mkuu mmoja tu aliyetengeneza kwa wengine inagoma nimejaribu kumchek abadlishe hakuna anachofanya naomba msaada anayewez kuibadlisha itoe kwa mawakala wakuu wote

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.