neemajeremiah profile

neemajeremiah

Jun 4, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Naomba mnisaidie katika hili. Mimi ni wakala pia mfanya biashara. Kwa hiyo hili sakata la lipa namba nitalifanyaje na wateja wangu wanataka kulipia bidhaa kwa lipa namba

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.