mpesabusiness profile

mpesabusiness

4d ago

Post media

Miamala batili ni miamala ambayo imefanyika kwa makosa, haijatambulika kisheria, au imekosa vigezo vinavyotakiwa ili ikubalike katika mfumo wa fedha wa mtandao husika. Mfano ndo kama hiyo kurudia mara tatu kutuma Kwa namba moja, kuhudumiawa na wakala mwenzako hiyo inakuwa miamala batili lakini ujue. Sio Kwamba eti haifanyiki hiyo miamala hapana unafanya vizuri tu ila ujue mwisho wa mwezi huwa unakatwa kiasi cha pesa kutokana na miamala hiyo maana Kuna waha wa kigoma kama Mimi ubishi eti mbona kama ni batili Mimi huwa nafanya miamala hiyo na inaenda sipati mazara haaaaa wewe muha mwisho wa mwezi ndo wanakukataa so hapo hapo asilimia 90 huwa wanakataa mwisho wa mwezi au makosa mengine wanakata hapo hapo mfano wakala mkuu akiwa mkoa mwingne ni hapo hapo wanafyeka Kwaiyo mnao uliza ndo hivo. Follow me Mpesa business #MPESA #MPESASafaricom #AirtelKenya #Vodacom #MixByYas

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.