abdallah profile

abdallah

Jun 14, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Mawakala wenzangu msaada naitaji kufahamu jana nikienda bankya nmb nikatoa Hela nikajaza from kwenda ndilishan akadai network namda ukawa umeniishia akaniambia njoo juma tatu je hiyo changamoto ya kawaida tu au ndo nimepigwa

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.