ibraah profile

ibraah

Mar 2, 2025

Post media

Nachokuomba unisaidie elfu 35 ili niweze kuuza nyanya ili nisiendelele kukupa majuku mengine nikamuuliza itatosha kweli kanambia inatosha kwasababu mama ndio alikua nafanya biashala hiyo kwahiyo naijua vizuli sasa wazee nilitamani kumsaidi mbali zaidi lakini mazingila yangu hayaluhusu kabisa ushauli wenu please 🙏 hifadhi hiyo sio story ni uhalisia

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.