issashomary profile

issashomary

Mar 22, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

HABARI NDUGU: ORODHA HAPO CHINI NI MAKATO YA LIPA KWA MITANDAO YA (Halotel, Airtel na Vodacom), Sehemu ambayo nimeandika Jina la MTANDAO ndo makato ambayo mtandao husika wanamkata MTEJA na sehemu ambayo nimeandika WAKALA Ninamaanisha ni Pesa ambayo wakala atamkata MTEJA wake MUHIMU KUZINGATIA: 1. Makato hayo ambapo nimeandika WAKALA yanatofautiana kwa wakala mmoja na mwingine hivyo unaweza wewe kupunguza au kuongeza kulingana na makubaliano na wateja wa eneo lako 2. Sijaandika chochote upande wa HALOTEL, hivyo utakadiria wewe mwenyewe utamkataje MTEJA wako 3. Matumizi ya lipa Namba kuhudumia MTEJA licha ya kwamba yanakupa faida ya Pesa Cash lakini yanapunguza Commission mwisho wa mwezi. 4. Lipa Namba ni namba ya kufanyia malipo ya huduma/Bidhaa sio rasmi kwa sisi mawakala

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.