santos profile

santos

Jun 4, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Mbona kama Airtel wanazidi kupunguza kamishen za mwisho wa mwezi, na pia miamala ya kutuma kamisheni imepungua

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.