mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 16, 2026

Post media

Hili swali linajibika hivi mnao uliza sana kiufupi wakala wa mitandao yote pamoja na huduma za bank kama nmb crdb huyo ndo anapiga pesa ndefu kushinda super agent. Kikubwa tu wakala uwe eneo zuri na mtaji mkubwa kwisha super agent hawezi kukushunda pesa ata kidogo. Utofauti huwa mmoja tu super agent Huwa ni wakala mwenye mtaji mkubwa ndo tafsiri yake kuanzia milion kumi na Tano huko sasa wewe kama utakuwa na mtaji wa Milion 30 na uko eneo zuri si unamshinda maana yeye ana husika na mtandao mmoja tu wewe unakuwa na mitandao yote na huduma za bank. Kwaiyo huo ndo ukweli. #MPESA #MixByYas #Vodacom #MPESASafaricom #NMB #crdb

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.