sengaosk profile

sengaosk

Jun 6, 2026

Post media

Wakuu habari za wakati huu naomba kujifunza kidogo kuhusu uwakala mkuu wa halopesa kwa mwenye uelewa kuhusu hili mfano vigezo mtani vifaa vya kuwa navyo nk......asanteni

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.