Usije kaa ukaanza msikiliza mtu ana kwambia biashara Fulani haina hela kabla wewe hujaifanyia uchunguzi.
Kuna mawakala kabisa wanasema uwakala hauna hela ila hapo hapo Kuna watu wanapiga pesa za hatari kwenye uwakala mashahidi naomba mta comment apo kama nasema uongo.
Ukiwa na mtaji ata milion tatu na ukiwa eneo zuri sana la watu wanao fanya miamala ukiwa na mkombozi wetu wa sasa lipa ndugu yangu unapiga hela tu nzuri mbona tena nzuri niamini Mimi kikubwa uzingatie vitu tunavyo piga kelele kila siku.
1. Eneo 2. Mtaji. 3 huduma nzuri Kwa wateja 4.umakini mkubwa kwenye utapeli basi apo ume win tayari.
#MixByYas #MPESASafaricom #Vodacom #AirtelKenya