mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 14, 2026

Post media

Ndiyo Kuna wateja wasumbufu wanatia hasira sana sikatai na inaweza pelekea kuwajibu vibaya ni sawa kabisa. Ila Kuna mawakala ambao ata mteja awe mpole yeye ni zarau tu anajibu Kwa nyodo kama analazimishwa hasa hawa wadada ata ofisi sio zao ila zarau zarau uku hawana ata mia mawakala wa kike punguzeni zarau. Leo nimekuta wakala akimfokea bibi flani ambae alikuwa anauliza tu tena kistarabu ila anavyo jibiwa lazima ujisikie vibaya sana kwaiyo punguzeni zarau. #MPESA #Vodacom #MixByYas #AirtelKenya #MPESASafaricom #Airtel

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.