saidshame54gmail.com profile

saidshame54gmail.com

Jun 25, 2026

Post media

Habari zenu mawakala wenzangu Kuna huyo dogo hapo kwenye picha alikua mfanyakazi wangu kwenye ofisi yangu y uwakala kigamboni,kaiba pesa zangu zote za mtaji naombeni kwayoyote atakaemkuta sehemu anipe taarifa kupitia namba zangu 0686905551

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.