siraji profile

siraji

Mar 5, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Ndg zang hapa kichwa hakifanyi Kaz yaan nilikua najaribu kubadili namba ya siri ya tigo till nilivyoandika namba mpya ya siri ikaja neno Unfinished ikajicancel...nikarudia tena ikaandikaa mara ya tatu akaunt yako itafungiwa, sasa akaja mteja nikamtumia pesa Ile kuweka namba ya siri Ile Ile ya kila siku akaunt imefungwa Laini nilipewa nikaweka float sio yang haikusajiliwa kwa namba zang za Nida nachoka sijui nifanye nn na laini Ina pesa nyingi.

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.