kahumba profile

kahumba

Mar 12, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Selcom Wana matatizo ngani mbona Bank nyingi wanajitoa NBC/Stanbank nyingine nyingi Hawa kama wagelekeza masharti Kwa Wakala ilikuwa ni faida Kwenye poss Yao niliunga zaidi ya Bank 30

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.