liz1900 profile

liz1900

Jun 6, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Heloo Ila nyie MAWAKALA ambao hamtaki lipa namba mnanishangaza, Mimi binafsi nazipenda mana naona faida yake kabsa Unakuta mwisho wa mwezi faida ya lipa ni kubwa kuliko ata nyingine Me naomba iachwe tu kwakweli Japo Zina changamoto yake ila ukiwa nayo seriaz unakula faida vizuri tu

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.