Hizi Sheria zingine kiukweli ukiangalia vizuri zinatuonea mawakala bila kosa lolote.
Eti kumtumia mteja mara mbili au zaidi inakatwa hela sas mnataka tuhudumie mbuzi jamani si hawa hawa wateja asa mtu anashuguli zake inatakiwa aweke hela ata mara mbili mara tatu na ana lain moja ko awe anatembea kutafuta mawakala tofauti asakama eneo Hilo yupo tu wakala mmoja ko asipate huduma.
Aya kuacha hilo sababu ipi unasema wakala alifanya hivo umkate sasa kakosea nini ohh inakuwa kama una foji muamala unaweza kuwa ni wewe mwenyewe wakala unajilushia sasa tatizo liko wapi kwani ukiwa wakala ndo huwi mteja Sheria hizo zaifu sana huo ndo ukweli.
Follow me Mpesa business
#MPESA #MixByYas #Vodacom #haloteltanzania