tyna profile

tyna

Jul 18, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Habari hv vigezo vya kuwa wakala mkuu ni vipi kwa mtu ambae hajawahi kuwa wakala yaan hata till ni mpya ila anataka kuanza na uwakala mkuu,vigezo vikoje

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.