mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 4, 2026

Post media

Turudi kwenye elim sasa watu wapya waweze kujua taratibu za uwakala ili nao waelewe wasirudie makosa. Kwenye uwakal Kuna Sheria zake kama sehem ingine kwaiyo unapo taka kuanza kazi hii usiishie tu kuuliza faida na hasara ulizia na Sheria zinazo takiwa kwenye kazi hii. Sheria nyingi ambazo watu hawaambiwi. 1.Lipa sio maalum Kwa wakala. Hii ni Sheria japo haijiarishi mnabana wakala au laa ila ni Sheria hasa Vodacom hawataki wakala atumie lipa namba hilo lifaham. 2. Mteja afanye muamala akiwa sehem yako ya kazi. Mitandao haziruhusu mteja atoe hela akiwa mbali na eneo lako la kazi kutokana na usalama wako wa miamala kwenye kurudishwa Kwa muamala. 3. Baadhi ya mtandao kama HALOTEL ndo Sheria kubwa kufanya muamala wakuweka kwenye namba moja Zaidi ya mara mbili. Halotel huwa hawataki urudie urudie kutuma pesa kwenye namba moja ukifanya hivo huwa wanakukata hela 4. Wakala mkuu ndo akuhudumie. Mitandao inasisitiza sana wakala mkuu peke ake ndo akuhudumie wewe wakala ili kuepuka mambo ya utapeli Kwa mawakala. 5. Mteja awe na kitambulisho wakati una muhudumia. Yani mteja aje na kitambulisho cha kura au nida anapokuja kwako😁😁 Hizo ni baazi ya Sheria muhim sana unazot takiwa kuzijua wewe ambae unataka kuanza uwakala. Follow me Mpesa business Vodacom Halotel Tanzania Yas Tanzania #MPESA #AirtelKenya #vodacom

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.