mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jul 12, 2026

Post media

Hapa nahitaji wataalamu waje kutuelewesha tuelewe vizuri hasa TRA Tanzania. Kwanini ukiwa na duka la kawaida na uwakala hapo hapo manispaa wanataka lessen mbili ya uwakala wa hela na leseni ya biashara wakati tunapo sajili za uwakala tunaombwa lessen za biashara tu na hawakwambii kuhusu lessen za uwakala wa hela hii inakaaje. Maana kuna watu watatu nimeshuhudia wanaambiwa hivi kuwa wanahitajika kuwa na lessen mbili Kwanini mtu anapotaka kuwa wakala mnamwambia lessen ya biashara? #Airtel #MPESA #MixByYas #Vodacom

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.