mpesabusiness profile

mpesabusiness

3h ago

Post media

Kitu muhim sana sana kwenye uwakala ni eneo zuri kuacha mtaji. Yani kama unamtaji wa Milion mbili afu unapata faida chini ya 10000 na una muda mwingi eneo hilo aisee kiongozi hama hapo Hilo eneo halifai Kwa biashara lbda mzunguko mdogo wawatu Yani watu hawafanyi miamala kabisa. Sababu ya pili we kubali au kataa inaweza kuwa Eneo lako hilo limechezewa watu wasifke kabisa kuja kufanya miamala kwako inawezekana na nina uhakika yapo haya mfano huu nakupa. Kuna rafiki angu apo kigamboni tungi Dar es salaam alifungua ofisi hio ya uwakala sasa akawa hapati wateja kabisa na mtaji upo eneo zuri tukawa tunashangaa sana ndipo nikamwambia Kuna kitu hapa akawa anakataa siku moja binti akapita ofisini pale tukamuona kabisa na jirani yetu kaenda kutoa hela sehem ingine asa wakati anarudi ndo akaja akasema mbona mnafunga funga ofisi saizi ndo mnafungua toka asubhi tuka stuka tukamtukana acha kujikosha umetupita pako wazo unasema tumefunga akasepa na hasira, jioni tena watu wawili hivo hivo wakasema kama huyo dada jirani. Weeeee mapema kwenda kuhangaika kumbe kweli alikuwa kachezewa yani ila aliset fresh naakawa anapata wateja. Kwaiyo Jameni msali sana muombe sana Dua pia kwenye ofisi zenu omba kemea sana uchafu utoke ofisini kwako. #Vodacom #MPESA #MPESASafaricom #Airtel

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.