mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 16, 2026

Post media

Ndugu wakala mpya usije jaribu tena huu ujinga kitacho kukuta basi usiseme hatukukwambia kabisa. HIi ni njia ya utapeli kama ulikuwa hujui na watu walisha lia sana anakuja anakupa sim nitolee laki tano humo ila naomba laki mbili nimpe huyu kwanza anawahi unachukua unampa wakati unamtolea uku ushampa ile laki mbili ukizubaa tu hayupo afu unabaki na sim ya thamani ya efu 70000 kapita na laki mbili. Kwaiyo kuwa makini wakala mpya. #MPESASafaricom #Vodacom #MPESA #MixByYas

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.