mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jul 14, 2026

Post media

Ukisema ukalili kila njia ya utapeli kwa wewe unae anza itakuwa ngumu kwako huo ndio ukweli ila kunajinsi ya kufanya yani tuseme kama kinga. 1. Usimuamini mteja yoyoye yule. Hapa nazungumzia mteja yoyote ata jirani yako au ndugu yako sababu jirani au ndugu anaweza kutumika kukutapeli bila yeye kujua hilo weka akilini yani usimuamini afate Sheria wanazo fata wateja wengine apo utakuwa salama. 2. Mteja atoe hela kutumia sim yake au kuwekewa hela kwenye sim yake asitumie kifaaa chako cha kazi ata siku moja. Yani hapo usimpe mteja ata sim yako ya akiba ashike sijui wamtumie hela acha kama hana basi kubali kukosa hiyo hela unaweza sema mbona mimi nawapaga sitapeliwi ila weka akilini hili neno watu hawatapeliwi wote kwa siku moja maana yake ipo siku yako. 3. Usisikilize mtu yoyote anae jifanya sijui afisa, sijui wakala mkuu ambae we humjui au sijui natokea campun gani usisikilize kabis watu hao iwe live au wamepiga sim kata sim au kama wamekuja kwako sema siwajui na staki usumbufu na staki huduma yenu nikitak taenda mwenyewe voda au Yas au tamfata wakala wangu mkuu basi kausha. 4. Usifungue link yoyote ile au usifate mashariki yoyote yale ambayo mtu amekupigia sim sijui fanya fanya hivi kata sim, kwanza sim unazo takiwa kupkea ni 100, 101 basi zingine zote acha usipokee. Kwa leo ni hayo tu. Elim ipo kubwa kwa wewe unae anza inabidi uipate ila ndoivi Mtanzania paka aibiwe Kwanza laki tano ndio atoe 20000 kujifunza. 0779573819 piga ila sana wasap

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.