shejeshe profile

shejeshe

Aug 13, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Leo na amka nakutana na huu ujumbe apo inatakiwa nifanyaje kuepuka kufungiwa naomba ushauri waugwana "Ndugu wakala tumebaini kuwa hufanyi huduma ya kutoa pesa kupitia namba yako ya uwakala. Epuka kufungiwa huduma. Tafadhali tumia namba yako kwa miamala ya kutoa"

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.