pclaudy profile

pclaudy

Sep 3, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Hbr za muda wapambanaji nahitaji mwenye POS ya CRDB, NMB na SELCOM iliounganishwa na bank zizisopungua 5 nahitaji kununua kwa ajili ya biashara nipo Dar maeneo ya Posta

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.