eliudykaduma profile

eliudykaduma

2d ago

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Hebu mtu mmoja akishauri jambo hapa mm nipo najiandaa kuwa wakala nipo nakusanya laini then nifungue huduma nilimpata mtu mmôja kwaajili ya kunitengenezea laini 3 vod halo na yas sasa nikamlipa na hela tuliyokubaliana akanipa vod na halo nilipo enda kufata lain ya yas akaniambia unatakiwa uje na laki 7 nikuwekee float kabisa sasa mimi sina hiyo hela na ni tangu mwezi wa tatu laini bado yupo nayo sasa mimi nikawa za nikisema ni fanye swapp itakubali?? Maana mwanzo hakunambia kama licha ya malipo ya kunitengenezea kuna sharti la mpaka niwe na float

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.