santos profile

santos

Apr 2, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Wadau mambo yanaendaje huko? Airtel wamelipa vizuri huko kwenu, mm nilikuwa naingiza 5000 had 10000 Kwa siku lkn Leo nimelipwa 129000 Je, tatizo ni nini?

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.