mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 16, 2026

Post media

Ushauri wangu huu kwa wanao taka kuanza uwakala hakikisha lipa yako na till ya voda visiwe vimesajiliwa kwa nida moja hiyo ndo inaleta shida kidogo kwa sasa. Kwaiyo lipa iwe nida ingine na till ya voda iwe nida ingine hiii itakusaidia ila kama unaona nazingua weka zifanane majina. #MixByYas #Vodacom #vodacomtanzania #AirtelKenya #MPESA

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.