khalid profile

khalid

Mar 12, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Wakuu mnaouza luku kupitia mashine za pos vipi mnachaji gharama za huduma" na ni bei gani

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.