mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 18, 2026

Post media

Waafrika sisi kitu kinacho changia umasikini nikuto kutaka kujifunza na ujuaji ambao hatujui ivi mtu kujifunza kitu kitanakusaidia mwenyewe bado unaona shida umasikini utatuua kwa hali hii. Jana na leo watu wawili wametapeliwa kwa njia ambayo nishasema sana humu kila siku usimpe mteja hela kama hujazibitisha mumala vizuri na kuzibitisha salio au usimtumie mtu hela bila kukupa hela mkononi kwanza tena leo tu nimetoa somo hilo. Inatakiwa utapeliwe kwa kitu ambacho hatujasema humu asa kila kitu tunasema huku ila hufati we unachukulia kawaida mtu kupigwa milion tatu kizembe hiyo nasema sababu tushasema sana. Miamala mingine mtu ana edit badala ata usome je ni mtandao husika wenyewe jina mpesa au Airtel money yani mtu anakutumia messeg ya kufowadi na wewe unampa hela kabisa Dah. #AirtelKenya #wakala #MPESA #Vodacom #MixByYas

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.