bahatiselemani profile

bahatiselemani

Sep 30, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Habari zenu, nataka kuanzisha hii biashara ya uwakala wa mitandao ya simu, je, nitapata vp mafunzo ili nijue jinsi ya kutoa huduma kwa wateja? Kama vile kutoa pesa, kuweka n.k. sijawahi kufanya hii biashara

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.